Hot story in Town
#htmlcaption1 Go UP! Pure Javascript. No jQuery. No flash. #htmlcaption2 Stay Connected

Wednesday, September 17, 2014



 August Alsina

MWANAMUZIKI wa R&B wa nchini Marekani, August Alsina anaendelea na matibabu hospitali baada ya kupatwa na mshtuko wa moyo na kuanguka jukwaani usiku wa kuamkia jana wakati akitumbuiza katika ukumbi wa Irving Plaza jijini New York.

Mwakilishi wa mwanamuziki huyo amesema August yupo ICU katika hospitali moja jijini New York City anapoendelea kupata matibabu.Taarifa zinaeleza kuwa madaktari hawakukuta dawa zaidi ya bangi mwilini mwake hivyo wanaamini kuanguka kwake stejini kulitokana na uchovu na kukosa maji.

No comments:

Post a Comment