Hot story in Town: DKT. SHEIN AMALIZA ZIARA YAKE NCHINI COMORO
#htmlcaption1 Go UP! Pure Javascript. No jQuery. No flash. #htmlcaption2 Stay Connected

Friday, September 19, 2014

DKT. SHEIN AMALIZA ZIARA YAKE NCHINI COMORO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiagana na Viongozi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Comoro katika Uwanja wa Ndege wa Comoro baada ya kumaliza Ziara ya siku nne kwa mualiko wa Serikali hiyo.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu Zanzibar.

No comments:

Post a Comment