Warembo wanaoshiriki shindano la
Redd's Miss Tanzania 2014 wakipozi jirani na bwawa la viboko na mamba
lililopo katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi wakati warembo hao
walipotembelea hifadhi hiyo jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii
wa ndani nchini.
Mwongoza watalii katika
Hifadhi ya Taifa ya Mikumi mkoani Morogoro, Benina Mwananzila akiwapa
maelezo warembo wa Redd's Miss Tanzania 2014 juu ya bwawa la viboko na
mamba lililopo katika hifadhi hiyo wakati warembo hao walipotembelea
hifadhi hiyo jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini.Warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2014 wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika Hifadhi ya Taifa Mikumi jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
Chanzo na Michuzi blog
No comments:
Post a Comment