Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Bwana Gordon Brown kabla ya kuanza
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na
Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mama Sarah Brown, Mke
wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza na Mwenyekiti Mtendaji wa Global
Business Coalition for Education muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano
wa ‘Getting Serious About Results: The Grand Convergence of Education
and Health” ulioandaliwa na Taasisi ya Mama Sarah Brown kwa kushirikiana
na Umoja wa Mataifa. Mkutano huo umefanyika huko New York tarehe
23.9.2014.
No comments:
Post a Comment