MISS TANZANIA WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA MLIMA KILIMAJARO (KINAPA)
Warembo
wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014 wametembelea hifadhi
ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) na kujifunza mambo mengi kuhusiana na
hifadhi hiyo ya mlima kilamanjaro. Pichani ni warembo hao wakipiga picha
na mdau mkubwa wa masuala ya urembo mkoani Kilimajaro, Athena Mawalla
wa mgahawa wa Meku's Bistro wakati warembo hao walipomtembelea wakiwa
njiani kwenda KINAPA.…
Warembo wakiwa katika gari njiani kuelekea KINAPA.
No comments:
Post a Comment