Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi
wa kata ya Kwaluguru wakati wa kukagua maendeleo ya ujenzi wa vyumba
vitatu vya maabara katika shule ya sekondari Kwaluguru wilayani Handeni.

Wananchi
wa kata ya Kwaluguru wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahma
Kinana wakati wa ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa maabara tatu za
masomo ya sayansi katika shule ya sekondari Kwaluguru ambapo vyumba 83
vya maabara vinajengwa wilayani Handeni.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishirikiujenzi wa ofisi ya CCM
Tawi la Kweinjugo kata ya Kwaluguru wilaya ya Handeni
No comments:
Post a Comment