Hot story in Town: EBOLA: TISHIO KWA AMANI NA USALAMA WA KIMATAIFA
#htmlcaption1 Go UP! Pure Javascript. No jQuery. No flash. #htmlcaption2 Stay Connected

Friday, September 19, 2014

EBOLA: TISHIO KWA AMANI NA USALAMA WA KIMATAIFA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa La Guardia jijini Washington DC tayari kwa kushiriki katika mikutano mbalimbali na pia katika hafla ya "USIKU WA JAKAYA" iliyoandaliwa na jumuiya ya Watanzania DMV.
Rais Kikwete akilakiwa na maafisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Marekani baada ya kuwasili hoteli aliyofikia
Rais Kikwete akisalimiana na Bw. Lucas Mkama wa Vijimambo Blog

Chanzo na Vijimambo blog

No comments:

Post a Comment