Hot story in Town: SERENGETI FIESTA YAFUNIKA MKOANI MBEYA
#htmlcaption1 Go UP! Pure Javascript. No jQuery. No flash. #htmlcaption2 Stay Connected

Monday, September 29, 2014

SERENGETI FIESTA YAFUNIKA MKOANI MBEYA

Msanii wa Bongo Fleva, Linex akitoa burudani usiku wa kuamkia leo ndani ya Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya.
Barnaba Boy akifanya makamuzi jukwaani. Mr blue akifanya yake kwenye tamasha hilo
  Umati wa mashabiki katika Tamasha la Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo ndani ya Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya.…

No comments:

Post a Comment