Hot story in Town: KINANA AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MAFIA, ASAFIRI KWA BOTI PAMOJA NA WANANCHI
#htmlcaption1 Go UP! Pure Javascript. No jQuery. No flash. #htmlcaption2 Stay Connected

Thursday, September 18, 2014

KINANA AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MAFIA, ASAFIRI KWA BOTI PAMOJA NA WANANCHI

 
Kinana akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo la ofisi ya CCM Wilaya ya Rufiji. Kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Mafia, Abdulkarim Shaha.

Kinana akifunua pazia wakati wa uzinduzi wa jengo hilo la kisasa.

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA 

No comments:

Post a Comment