Mshambuliaji wa timu ya Chelsea, Diego Costa.
Kocha wa timu ya Chelsea, José Mário dos Santos Mourinho Félix 'Jose Mourinho'.
Costa, amefunga mabao saba katika mechi nne za awali Chelsea, alilazimika kuanzia benchi katika mchezo wa sare ya 1-1 na Schalke Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana na kuingia kipindi cha pili dakika ya 74.
Pamoja na hayo, Mourinho hakuwa na malalamiko coyote kwa Hispania zaidi ya kusema na wao pia wanamhudumia vizuri mshambuliaji huyo juu matatizo yake ya misuli yanayomkabili.
No comments:
Post a Comment