Wanamilia kutoka upande wa marehemu Reeva wakiwa na simanzi wakati wa hukumu hiyo.
Jaji Thokozile Masipa alisema kuwa mwanariadha huyo…
Oscar Pistorius akisikiliza hukumu yake.
Amesema kuwa hakuamini kwamba jaji wa kesi hiyo alikubali ushahidi wa Oscar Pistorius kwamba alidhani bi Reeva Steenkamp alikuwa mtu ambaye alikuwa amevamia nyumba yao.
Hatahivyo mjombaake Pistorius alimshukuru jaji huyo kwa kumuondolea mashtaka ya mauaji mwanariadha huyo.Oscar Pistorius ataendelea kuwa nje kwa dhamana hadi hukumu yake itakapotolewa mnamo mwezi ujao.
No comments:
Post a Comment